Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Abasia

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tofauti kati ya abasia na monasteri kwa jumla inaonekana katika utaratibu wa kanisa katoliki (sijui habari za watawa waanglikana). Kwa macho ya nje ni zaidi cheo cha monasteri inayojitegemea; inaweza kuwa na monasteri ndogo chini yake zinazoongozwa na priori aliye chini ya abate. Sikumbuki tofauti hiyohiyo katika mapokeo ya kiorthodoksi. na monasteri zao.

Nimemondoa Pakomio hapa kwa sababu jumuiya aliyosimamia ilikuwa kitangulizi kwa monasteri kwa jumla si abasia hasa --Kipala (majadiliano) 21:19, 7 Mei 2009 (UTC)[jibu]