Maio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya funguvisiwa la Cabo Verde.

Maio ni kisiwa cha jamhuri ya Cabo Verde, katika kundi la Sotavento (yaani "chini ya upepo").

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Maio kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.