Mahakama Kuu, Zanzibar
Mandhari
Mahakama Kuu, Zanzibar ipo katika barabara ya Kaunda karibu na bustani ya Victoria, Mji Mkongwe, Zanzibar.[1]
Iliundwa mnamo 1964 baada ya Mapinduzi ya Zanzibar.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-12. Iliwekwa mnamo 2021-05-12.
- ↑ https://www.devex.com/organizations/judiciary-of-zanzibar-134280