Nenda kwa yaliyomo

Magofu ya Kimbiji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Msikiti mkongwe wa Kimbiji

Magofu ya Kimbiji, yaani magofu ya mji wa kale wa Kimbiji, Wilaya ya Kigamboni, katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, ni maeneo ya kihistoria ya Karne za Kati.[1][2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Contract of Restoration of Historical Structures in Kimbiji" (PDF). Iliwekwa mnamo 4 Julai 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. de Vere Allen, James (1981). "Swahili Culture and the Nature of East Coast Settlement". The International Journal of African Historical Studies. 14 (2): 306–334. doi:10.2307/218047. JSTOR 218047.