Nenda kwa yaliyomo

Maeneo ya Zama za Chuma ya Kemondo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maeneo ya Zama za Chuma ya Kemondo au KM2 na KM3 ni maeneo ya akiolojia ya viwanda vya zama za chuma katika kata ya Kemondo, Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoa wa Kagera, Tanzania. Maeneo haya yalichimbwa na timu iliyoongozwa na mtaalamu wa akiolojia Peter Schmid katika miaka ya 1970 na 1980.[1]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Schmidt, Peter; Avery, Donald H. (1978). "Complex Iron Smelting and Prehistoric Culture in Tanzania". Science. 201 (4361): 1085–1089. doi:10.1126/science.201.4361.1085. JSTOR 1746308. PMID 17830304.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maeneo ya Zama za Chuma ya Kemondo kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.