Nenda kwa yaliyomo

Maeneo Makuu ya Uvuvi ya FAO

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maeneo Makuu ya Uvuvi kadiri ya FAO.

Maeneo Makuu ya Uvuvi ya FAO ni maeneo maalum duniani ambayo Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limegawanya kwa ajili ya uvuvi. Mgawanyo huu ni muhimu kwa ajili ya ukusanyaji wa takwimu, usimamizi wa rasilimali za uvuvi, na kwa malengo ya kisheria na kiutawala.

Mipaka ya maeneo haya ilibainishwa kwa kuzingatia mambo mbalimbali na kwa kushauriana na miundo ya kimataifa ya uvuvi.[1]

  1. FAO: Geographic profiles