Madeleine Memb
Mandhari
Madeleine Memb (alizaliwa tarehe 14 Julai mnamo mwaka 1957) ni mwandishi wa habari wa Kamerun, mtayarishaji wa vipindi mbali mbali vya redio, na mwanaharakati wa haki za wanawake. Tangu mwaka 2006, ameongoza mradi unaolenga kutokomeza ukeketaji wa wanawake nchini Kamerun[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nous allons créer un réseau de femmes pour la paix en zone Cemac" on journalducameroun.com, January 18, 2009.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Madeleine Memb kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |