Macoura Dao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Macoura Dao (jina la kuzaliwa: Macoura Coulibaly) ni mwanasiasa wa Ivory Coast. Ni meya wa jimbo la Foumbolo. Mnamo 2019 alimrithi Célestine Ketcha Courtès kama Rais wa Network for Locally Elected Women of Africa (REFELA).

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Katika chaguzi za mitaa za Ivory Coast Macoura Dao aliwakilisha chama cha Rally of the Republicans (RDR), akipata 35.22% ya kura za umeya huko Foumbolo.[1]

Mnamo mwaka 2017 alishinda tuzo ya Ubora kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama, akichukua tuzo ya pili ya afisa bora aliyechaguliwa nchini humo.[2] Macoura Dao aliteuliwa kuwa Rais wa REFELA katika mkutano huko Cairo mnamo Juni 17, 2019..[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Macoura Dao kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.