Machonge
Mandhari
Machonge ni meno ambayo yamechongoka na yenye uwezo mkubwa wa kusaga chakula kama nyama na vyakula vingine.
Wanyama tofauti hutumia meno hayO kwa ajili ya kujilinda, kula na vinginevyo. Wanyama hao ni kama: mbwa, paka, simba, chui na wengineo.
Faida za machonge
[hariri | hariri chanzo]- 1. husaidia katika mfumo wa chakula.
- 2. humsaidia mnyama kujilinda.
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Machonge kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |