Nenda kwa yaliyomo

Machu Picchu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Machipichu)

Machu Picchu ni mji wa kale unaopatikana katika nchi ya Peru.

Machipichu ni mji ambao ulikuwa umepotea kwa sababu ulikuwa katikati ya milima. Watu walikuwa wakiishi huko pamoja na mifugo yao, waliweza kugundua kuwa hapo waliishi watu kwa sababu nyumba zilizojengwa na binadamu zipo mpaka sasa na hakuna mtu huko ila mifugo tu.

Wanasayansi walijaribu kutambua nini kilichotokea lakini hawakuweza, ila walijaribu kukisia kuwa ni vita ndivyo vilivyosababisha watu wasiwepo tena.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.