Bonde
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mabonde)
Bonde ni sehemu ya ardhi iliyo baina ya milima miwili. Mara nyingi ni sehemu iliyo chini na inayopitiwa na mto.
Bonde linafanywa kwa kina na mto wa maji au wakati mto unapita kutoka kwenye ardhi ya juu hadi ardhi ya chini, na kuingia baharini au ziwani.
Upepo pia unaweza kufanya mabonde makubwa kwa mmomonyoko.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|