Mabadiliko ya tabianchi nchini Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wachumaji chai katika eneo la Mlima Kenya nchini Kenya, kwa ajili ya mradi wa Two Degrees Up, kuangalia athari za mabadiliko ya hali ya hewa katika kilimo.

Mabadiliko ya tabianchi nchini Kenya, kama kote duniani, yanaleta tishio linaloongezeka kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi na uendelevu wa mazingira.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]