Marshall Nirenberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marshall Nirenberg

Marshall Warren Nirenberg (amezaliwa 10 Aprili 1927) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mfumo wa kanuni za jenetiki. Mwaka wa 1968, pamoja na Robert Holley na Har Khorana alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marshall Nirenberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.