Jeshi la anga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hii ni ndege ya vita inayojulikana kama Jeshi la anga

Jeshi la anga ni jeshi linalotumia ndege n.k. Jeshi la anga hutumia ndege hizo kwa ajili ya kusafirisha wanajeshi na mabomu kama sehemu wanayokwenda kushambulia ni mbali sana na walipo.

Kazi ya jeshi la anga[hariri | hariri chanzo]

  • Kushambulia nchi ya maadui wakati wa vita.

Majeshi ya anga huwa na sare tofauti na majeshi mengine.