Kikabardia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kikabardia''' ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi, Uturuki, Syria, Iraq na Yordani inayoz...'
 
d kuondoa kiungo cha ramani using AWB
Mstari 3: Mstari 3:
==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://multitree.org/codes/kbd lugha ya Kikabardia kwenye Multitree]
*[http://multitree.org/codes/kbd lugha ya Kikabardia kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/kbd.html ramani ya Kikabardia]
*[http://www.language-archives.org/language/kbd makala za OLAC kuhusu Kikabardia]
*[http://www.language-archives.org/language/kbd makala za OLAC kuhusu Kikabardia]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/kaba1278 lugha ya Kikabardia katika Glottolog]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/kaba1278 lugha ya Kikabardia katika Glottolog]

Pitio la 20:10, 14 Mei 2017

Kikabardia ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi, Uturuki, Syria, Iraq na Yordani inayozungumzwa na Wakabardia. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kikabardia nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 516,000. Pia mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji milioni moja nchini Uturuki, 56,000 nchini Yordani na 39,000 nchini Syria. Idadi ya wasemaji nchini Iraq haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikabardia iko katika kundi la Kicircassi.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikabardia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.