Kijava : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: +viungo vya OLAC na Glottolog using AWB
d kuondoa kiungo cha ramani using AWB
Mstari 3: Mstari 3:
==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://multitree.org/codes/jav lugha ya Kijava kwenye Multitree]
*[http://multitree.org/codes/jav lugha ya Kijava kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/jav.html ramani ya Kijava]
*[http://www.language-archives.org/language/jav makala za OLAC kuhusu Kijava]
*[http://www.language-archives.org/language/jav makala za OLAC kuhusu Kijava]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/java1254 lugha ya Kijava katika Glottolog]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/java1254 lugha ya Kijava katika Glottolog]

Pitio la 20:07, 14 Mei 2017

Kijava ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wajava kwenye kisiwa cha Java ambapo ni lugha rasmi ya jimbo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kijava imehesabiwa kuwa watu milioni 84.3. Pia kuna wasemaji 300,000 nchini Malaysia (1981). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijava iko katika kundi lake lenyewe la Kijava.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijava kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.