James Kirkwood : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 32: Mstari 32:
| uzito =
| uzito =
}}
}}
'''James Kirkwood''' ([[22 Agosti]] [[1924]] – [[21 Aprili]] [[1989]]) alikuwa mchezaji na mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya [[Marekani]]. Anajulikana hasa kwa kuandika, pamoja na [[Nicholas Dante]], igizo lenye muziki liitwalo kwa Kiingereza ''A Chorus Line'' lililotolewa 1975. Mwaka wa [[1976]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' kwa ajili ya igizo hilo.
'''James Kirkwood''' ([[22 Agosti]] [[1924]] – [[21 Aprili]] [[1989]]) alikuwa mchezaji na mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya [[Marekani]]. Anajulikana hasa kwa kuandika, pamoja na [[Nicholas Dante]], igizo lenye muziki liitwalo kwa Kiingereza ''A Chorus Line'' lililotolewa 1975. Mwaka wa [[1976]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya]]''' kwa ajili ya igizo hilo.


{{DEFAULTSORT:Kirkwood, James}}
{{DEFAULTSORT:Kirkwood, James}}
Mstari 38: Mstari 38:
[[Category:Waliofariki 1989]]
[[Category:Waliofariki 1989]]
[[Category:Waandishi wa Marekani]]
[[Category:Waandishi wa Marekani]]
[[Category:Tuzo ya Pulitzer]]
[[Category:Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya]]


{{Mbegu-mwandishi}}
{{Mbegu-mwandishi}}

Pitio la 17:03, 23 Januari 2017

James Kirkwood
Faili:James Kirkwood.jpg
Amezaliwa James Kirkwood, Jr.
22 Agosti 1924
Los Angeles, Marekani
Amekufa 21 Aprili 1989
New York, Marekani
Nchi Marekani

James Kirkwood (22 Agosti 192421 Aprili 1989) alikuwa mchezaji na mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa kuandika, pamoja na Nicholas Dante, igizo lenye muziki liitwalo kwa Kiingereza A Chorus Line lililotolewa 1975. Mwaka wa 1976 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa ajili ya igizo hilo.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Kirkwood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.