Tofauti kati ya marekesbisho "Giza (Misri)"

Jump to navigation Jump to search
25 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:Q81788)
}}
[[Image:Giza_kutoka_juu.jpg|right|thumb|300px|Giza inavyoonekana kutoka angani: Bonde la Nile na mwanzo wa jangwa penye piramidi]]
'''Giza''' (pia: '''Gizeh''', kutoka [[Kar.]]: الجيزة ''al-gīza'') ni mji wa kaskazini ya [[Misri]] unaopakana na mji mkuu [[Kairo]]. Kuna wakazi 2,443,490 (2005).
 
Mji wa Giza waonekana kama mtaa wa Kairo tu lakini ni mji wa pekee. Zamani ilitengwa na mji mkuu kwa uwazi wa mashamba lakini siku hizi miji yote miwili imekua hadi kugusana kabisa.

Urambazaji