Shinyanga (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Bot: Replacements: fix URL prefix
d wa wa --> wa; new lines; double spaces using AWB
Mstari 1: Mstari 1:
{{Infobox Settlement
{{Infobox Settlement
|jina_rasmi = Manisipaa ya Shinyanga
|jina_rasmi = Manisipaa ya Shinyanga
|picha_ya_satelite =
|picha_ya_satelite =
|pushpin_map = Tanzania
|pushpin_map = Tanzania
|pushpin_map_caption = Mahali pa mji wa Shinyanga katika Tanzania
|pushpin_map_caption = Mahali pa mji wa Shinyanga katika Tanzania
|settlement_type = Jiji
|settlement_type = Jiji
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
|subdivision_name = [[Tanzania]]
|subdivision_name = [[Tanzania]]
|subdivision_type1 = [[:Jamii:Mikoa ya Tanzania|Mkoa]]
|subdivision_type1 = [[:Jamii:Mikoa ya Tanzania|Mkoa]]
|subdivision_name1 = [[Mkoa wa Shinyanga|Shinyanga]]
|subdivision_name1 = [[Mkoa wa Shinyanga|Shinyanga]]
|subdivision_type2 = [[Wilaya za Tanzania|Wilaya]]
|subdivision_type2 = [[Wilaya za Tanzania|Wilaya]]
|subdivision_name2 = [[Wilaya ya Shinyanga Mjini|Shinyanga Mjini]]
|subdivision_name2 = [[Wilaya ya Shinyanga Mjini|Shinyanga Mjini]]
|wakazi_kwa_ujumla =
|wakazi_kwa_ujumla =
|latd=3 |latm=39 |lats=36 |latNS=S
|latd=3 |latm=39 |lats=36 |latNS=S
|longd=33 |longm=25 |longs=12 |longEW=E
|longd=33 |longm=25 |longs=12 |longEW=E
|website =
|website =

}}
}}
'''Shinyanga''' ni [[manisipaa]] nchini [[Tanzania]] ambayo ni makao makuu ya [[Mkoa wa Shinyanga]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 161,391 <ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Shinyanga Municipal Council]</ref> .

Manisipaa ya Shinyanga ni sawa na Wilaya ya Shinyanga Mjini.
Manisipaa ya Shinyanga ni sawa na Wilaya ya Shinyanga Mjini.
Mstari 29: Mstari 29:
==Usafiri==
==Usafiri==
Shinyanga huwa na kituo cha reli kwenye njia ya reli kutoka Mwanza kwenda Tabora; kwa hiyo imeunganishwa na reli ya kati Dar es Salaam - Tabora - Kigoma. Kuna uwanja wa ndege mdogo. Mji unapitiwa na barabara ya lami kutoka Mwanza kwenda Tabora.

==Marejeo==
==Marejeo==
Mstari 35: Mstari 34:

==Viungo vya Nje==
==Viungo vya Nje==
*[http://www.shinyangamc.go.tz/en/ Tovuti rasmi ya Manisipaa ya Shinyanga]]
*[http://www.shinyangamc.go.tz/en/ Tovuti rasmi ya Manisipaa ya Shinyanga]
*[http://www.mof.go.tz/mofdocs/budget/Budget%20Books/2011_2012/Recurrent%20Budget/Vote%2083.pdf Makisio ya Halmashauri ya manisipaa ya Shinyanga kwa mwaka 2011-12]
*[http://www.mof.go.tz/mofdocs/budget/Budget%20Books/2011_2012/Recurrent%20Budget/Vote%2083.pdf Makisio ya Halmashauri ya manisipaa ya Shinyanga kwa mwaka 2011-12]

{{mbegu-jio-shinyanga}}
{{mbegu-jio-shinyanga}}

{{kigezo:kata za Wilaya ya Shinyanga mjini}}
{{kata za Wilaya ya Shinyanga mjini}}

[[Jamii:Miji ya Tanzania]]
[[Jamii:Miji ya Tanzania]]

Pitio la 08:24, 23 Juni 2016

Manisipaa ya Shinyanga
Manisipaa ya Shinyanga is located in Tanzania
Manisipaa ya Shinyanga
Manisipaa ya Shinyanga

Mahali pa mji wa Shinyanga katika Tanzania

Majiranukta: 3°39′36″S 33°25′12″E / 3.66000°S 33.42000°E / -3.66000; 33.42000
Nchi Tanzania
Mkoa Shinyanga
Wilaya Shinyanga Mjini

Shinyanga ni manisipaa nchini Tanzania ambayo ni makao makuu ya Mkoa wa Shinyanga. Kulingana na sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 161,391 [1] .

Manisipaa ya Shinyanga ni sawa na Wilaya ya Shinyanga Mjini.

Eneo

Manispaa ya Shinyanga ina eneo la 548 km². Eneo la utawala linaundwa na jumla ya tarafa 3, kata 17,vijiji 19, mitaa 25 na vitongoji 95.

Halihewa

Hali ya hewa ni ya kitropiki ambayo ina vipindi viwili ya majira ya mvua na kiangazi. Msimu wa mvua ni kati ya mwezi Oktoba na Desemba,pia huanza mwezi machi hadi Mei. Kiasi cha mvua kwa mwaka ni kati ya milimita 600 hadi 1000. Kiangazi huanza mwezi Mei hadi Oktoba, pia huanza Januari hadi Februari. Wastani wa jotoridi ni kati ya nyuzi za sentigredi 18 hadi 31.[2]

Usafiri

Shinyanga huwa na kituo cha reli kwenye njia ya reli kutoka Mwanza kwenda Tabora; kwa hiyo imeunganishwa na reli ya kati Dar es Salaam - Tabora - Kigoma. Kuna uwanja wa ndege mdogo. Mji unapitiwa na barabara ya lami kutoka Mwanza kwenda Tabora.

Marejeo

  1. Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Shinyanga Municipal Council
  2. Maelezo kuhusu hali ya hewa kutoka tovuti ya manisipaa , ilitazamiwa Septemba 2015

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Shinyanga (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
Kata za Wilaya ya Shinyanga mjini - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania

Chamaguha | Chibe | Ibadakuli | Ibinzamata | Kambarage | Kitangili | Kizumbi | Kolandoto | Lubaga | Masekelo | Mjini | Mwamalili | Mwawaza | Ndala | Ndembezi | Ngokolo | Old Shinyanga