Wanyamapori : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Panthera tiger in a marshy area in captivity.jpg|thumb|250px|''[[Panthera tigris]]''.]]
'''Wanyamapori''' ni [[wanyama]] wanaoishi [[pori|porini]] na huwa hawafugwi na [[binadamu]] kama baadhi ya wanyama wengine.
'''Wanyamapori''' ni [[wanyama]] wanaoishi [[pori|porini]] na huwa hawafugwi na [[binadamu]] kama baadhi ya wanyama wengine.



Pitio la 14:31, 26 Mei 2016

Panthera tigris.

Wanyamapori ni wanyama wanaoishi porini na huwa hawafugwi na binadamu kama baadhi ya wanyama wengine.

Wanyama hao ni kama vile Tembo wa Afrika, Simba, Twiga , Pundamilia, Chui, Kongoni, Sitatunga, Fisi na wanyama wengine.

Wanyamapori wanaweza kuwekwa pamoja katika sehemu iliyotengenezwa na kuitwa Zuu au bustani ya wanyama, lakini si eneo rasmi kwa wanyama hao kuishi.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanyamapori kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.