Abdullah bin Faisal Al Saud : Tofauti kati ya masahihisho
d Baba Tabita alihamisha ukurasa wa Abdullah al Faisal hadi Abdullah bin Faisal Al Saud: jina rasmi |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
{{lugha}} |
|||
{{about|the Saudi Arabian prince|the Jamaican Muslim cleric convicted of inciting hatred|Abdullah el-Faisal}} |
|||
{{unsourced|date=Februari 2009}} |
{{unsourced|date=Februari 2009}} |
||
Mstari 23: | Mstari 23: | ||
'''Abdullah |
'''Abdullah bin Faisal Al Saud''' (1922 - 8 Mei 2007) alikuwa mtoto wa kwanza wa marehemu Mfalme wa Saudi, [[Faisal ibn Abdul Aziz]], na Sultana, binti ya Ahmad ibn Muhammad kutoka katika familia yenye ushawishi mkubwa ya al-Sudairi familia ya Najd. |
||
==Kazi== |
==Kazi== |
Pitio la 14:12, 12 Desemba 2015
Makala hii au sehemu ya makala hii inahitaji masahihisho kwa upande mmoja wa zifuatazo:
|
Makala hii, au sehemu za makala hii, inahitaji vyanzo au marejeo yoyote. Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuweka vyanzo vya kuaminika. Habari zisizowekewa vyanzo zinaweza kuwekewa alama na kuondolewa. (Februari 2009) |
Abdullah al-Faisal Al Saud |
---|
House of Saud |
Abdullah al-Faisal ibn Abd al-Aziz ibn Abd al-Rahman Al Saud |
Offspring |
|
Abdullah bin Faisal Al Saud (1922 - 8 Mei 2007) alikuwa mtoto wa kwanza wa marehemu Mfalme wa Saudi, Faisal ibn Abdul Aziz, na Sultana, binti ya Ahmad ibn Muhammad kutoka katika familia yenye ushawishi mkubwa ya al-Sudairi familia ya Najd.
Kazi
Alianza huduma yake ya kiserikali kama Viceroy wa Hejaz mara nyingi akiwa Waziri Msaidizi wa Maswala ya Nje ya Ufalme wakati akiwa na baba yake, Mfalme Faisal, katika safari yake ya kimataifa. Aliwahi kuhudumu pia kama Waziri wa Afya kutoka 1949-1950 na kama Waziri wa Mambo ya Ndani 1951-1959.
Prince Abdullah baadaye alistaafu kutoka siasa ili kuzingatia maslahi ya biashara yake, inayojulikana kwa sana ikiwa ni Al Faisaliah Group ambayo ni miongoni mwa himaya za biashara za Saudi Arabia za mseto . Alikuwa Mwenyekiti wa sfirika la msaada maarufu la King Faisal Foundation, na pia alikuwa mshairi.
Kazi zake.
Machapisho yake yamehakikiwa sana ; hayo ni pamoja na:
- Mahrum: Min Wahye al Hirman
Makala Saudi Arabia biographical bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |