Wilhelm Wien : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: fa:ویلهلم وین
Mstari 22: Mstari 22:
[[en:Wilhelm Wien]]
[[en:Wilhelm Wien]]
[[es:Wilhelm Wien]]
[[es:Wilhelm Wien]]
[[fa:ویلهلم وین]]
[[fi:Wilhelm Wien]]
[[fi:Wilhelm Wien]]
[[fr:Wilhelm Wien]]
[[fr:Wilhelm Wien]]

Pitio la 23:16, 2 Desemba 2007

Wilhelm Wien (1911)
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Wilhelm Wien (13 Januari, 186430 Agosti, 1928) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza mambo ya mnururisho. Mwaka wa 1911 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.