Tofauti kati ya marekesbisho "Kaskazini"

Jump to navigation Jump to search
8 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
d
fomati
d (Bot: Migrating 116 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q659 (translate me))
d (fomati)
'''Kaskazini''' ni moja kati ya mielekeo minne mikuu ya [[dira]]. Mwelekeo wake ni [[ncha ya kaskazini]] ya dunia. Kinyume chake ni [[kusini]].
 
Jina "kaskazini" limetokana na neno la Kiarabu "قيظ ''qiz''" joto na "قيظ قائظ ''qiz qaez''" hali ya hewa lenye joto sana; kutoka sehemu za Zanzibar au Uswahilini kwenda kaskazini kuelekea Somalia joto linaongezeka sana; upepo wa joto latokea huko.
 
Kaskazini kawaida huwa juu zaidi kwenye ramani. [[Kanada]] ipo kaskazini mwa nchi ya [[Marekani]], [[Venezuela]] ipo kaskazini mwa nchi ya [[Brazil]], na [[Urusi]] ipo kaskazini mwa nchi ya [[India]]. Ncha ya kaskazini ni kaskazini ya mbali unayoweza kwenda.

Urambazaji