Owen Chamberlain : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 12: Mstari 12:


[[bg:Оуен Чембърлейн]]
[[bg:Оуен Чембърлейн]]
[[bn:ওয়েন চেম্বারলেইন]]
[[ca:Owen Chamberlain]]
[[ca:Owen Chamberlain]]
[[cs:Owen Chamberlain]]
[[cs:Owen Chamberlain]]

Pitio la 10:40, 27 Novemba 2007

Owen Chamberlain (10 Julai, 192028 Februari, 2006) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alifanya utafiti wa fizikia ya kiini na kugundua vipande vingi vya atomu. Mwaka wa 1959, pamoja na Emilio Segre alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.