'''Hans Albrecht Bethe''' ([[2 Julai]], [[1906]] – [[6 Machi]], [[2005]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Alizaliwa katika mji wa [[Strasbourg]]. Mwaka wa 1933 alihamia Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya [[atomu]]. Mwaka wa 1967 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.