George Santayana : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza uk:Джордж Сантаяна
Minor fix using AWB
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:George Santayana.jpg|right|thumb|George Santayana]]
[[Picha:George Santayana.jpg|right|thumb|George Santayana]]
'''George Santayana''' ([[16 Desemba]], [[1863]] – [[26 Septemba]], [[1952]]) alikuwa mwanafalsafa na mwandishi. Akiwa raia wa [[Hispania]] alilelewa na kusoma [[Marekani]], kwa hiyo aliandika kwa lugha ya [[Kiingereza]] tu na kuangaliwa kama mwandishi Mmarekani. Anajulikana hasa kwa usemi wake "Wasiojifunza kutoka historia watairudia" (kwa Kiingereza: "Those who cannot learn from history are doomed to repeat it").
'''George Santayana''' ([[16 Desemba]] [[1863]] – [[26 Septemba]] [[1952]]) alikuwa mwanafalsafa na mwandishi. Akiwa raia wa [[Hispania]] alilelewa na kusoma [[Marekani]], kwa hiyo aliandika kwa lugha ya [[Kiingereza]] tu na kuangaliwa kama mwandishi Mmarekani. Anajulikana hasa kwa usemi wake "Wasiojifunza kutoka historia watairudia" (kwa Kiingereza: "Those who cannot learn from history are doomed to repeat it").


{{mbegu-mwandishi}}
{{Mbegu-mwandishi}}


{{DEFAULTSORT:Santayana, George}}
{{DEFAULTSORT:Santayana, George}}

Pitio la 22:01, 14 Februari 2013

George Santayana

George Santayana (16 Desemba 186326 Septemba 1952) alikuwa mwanafalsafa na mwandishi. Akiwa raia wa Hispania alilelewa na kusoma Marekani, kwa hiyo aliandika kwa lugha ya Kiingereza tu na kuangaliwa kama mwandishi Mmarekani. Anajulikana hasa kwa usemi wake "Wasiojifunza kutoka historia watairudia" (kwa Kiingereza: "Those who cannot learn from history are doomed to repeat it").

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Santayana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.