Kishona : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza kv:Шона (кыв)
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza mzn:شونا; cosmetic changes
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kishona''' ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Zimbabwe]] inayozungumzwa na [[Washona]]. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kishona nchini Zimbabwe imehesabiwa kuwa watu 10,700,000. Pia kuna wasemaji wachache nchini [[Zambia]], [[Malawi]], [[Botswana]] na [[Afrika Kusini]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kishona kiko katika kundi la S10.

==Viungo vya nje==
== Viungo vya nje ==
*[http://multitree.org/codes/sna lugha ya Kishona kwenye Multitree]
* [http://multitree.org/codes/sna lugha ya Kishona kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/sna.html ramani ya Kishona]
* [http://llmap.org/languages/sna.html ramani ya Kishona]
*http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=sna
* http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=sna

{{mbegu-lugha}}
{{mbegu-lugha}}
Mstari 34: Mstari 34:
[[lt:Šonų kalba]]
[[lt:Šonų kalba]]
[[mk:Шона (јазик)]]
[[mk:Шона (јазик)]]
[[mzn:شونا]]
[[nah:Xonatlahtōlli]]
[[nah:Xonatlahtōlli]]
[[nl:Shona (taal)]]
[[nl:Shona (taal)]]

Pitio la 01:16, 2 Juni 2012

Kishona ni lugha ya Kibantu nchini Zimbabwe inayozungumzwa na Washona. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kishona nchini Zimbabwe imehesabiwa kuwa watu 10,700,000. Pia kuna wasemaji wachache nchini Zambia, Malawi, Botswana na Afrika Kusini. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kishona kiko katika kundi la S10.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishona kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.