Kiiku-Gora-Ankwa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kiiku-Gora-Ankwa''' (au '''Kiiku''' kwa kifupi) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waiku, [[Wagora...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:56, 5 Mei 2012

Kiiku-Gora-Ankwa (au Kiiku kwa kifupi) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waiku, Wagora na Waankwa. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiiku-Gora-Ankwa imehesabiwa kuwa watu 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiiku-Gora-Ankwa kiko katika kundi la Plateau.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiiku-Gora-Ankwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.