Global Voices Online : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: fr:Global Voices Online
Mstari 14: Mstari 14:
[[fr:Global Voices Online]]
[[fr:Global Voices Online]]
[[it:Global Voices Online]]
[[it:Global Voices Online]]
[[ja:グローバル・ボイス・オンライン]]
[[mk:Global Voices Online]]
[[mk:Global Voices Online]]
[[pt:Global Voices Online]]
[[pt:Global Voices Online]]

Pitio la 03:15, 29 Desemba 2011

Global Voices ni mradi ulio chini ya Kituo cha Intaneti na Jamii cha Berkman (The Berkman Center for Internet and Society) kilicho chini ya Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Harvard. Mradi huu una blogu ambayo kazi yake ni kuandika muhtasari wa masuala yanayoandikwa na kuzungumziwa katika blogu mbalimbali duniani. Waanzilishi wa mradi huu ni Ethan Zuckerman na Rebecca Mackinonn.

Viungo vya nje