Kibengali : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2) (roboti Badiliko: an:Idioma bengalí
d r2.5.1) (roboti Nyongeza: kl:Bengalimiutut, pms:Lenga bengali
Mstari 62: Mstari 62:
[[kbd:Бенгалыбзэ]]
[[kbd:Бенгалыбзэ]]
[[kg:Kibang'la]]
[[kg:Kibang'la]]
[[kl:Bengalimiutut]]
[[kn:ಬಂಗಾಳಿ ಭಾಷೆ]]
[[kn:ಬಂಗಾಳಿ ಭಾಷೆ]]
[[ko:벵골어]]
[[ko:벵골어]]
Mstari 85: Mstari 86:
[[os:Бенгайлаг æвзаг]]
[[os:Бенгайлаг æвзаг]]
[[pl:Język bengalski]]
[[pl:Język bengalski]]
[[pms:Lenga bengali]]
[[pnb:بنگالی]]
[[pnb:بنگالی]]
[[pt:Língua bengali]]
[[pt:Língua bengali]]

Pitio la 20:15, 20 Novemba 2011

Kibengali (বাংলা ভাষা Bāṃlā bhāṣā, Bangla bhasha) ni lugha ya Asia ya Kusini inayojadiliwa katika Bangladesh na India. Jumla ya wasemaji ni takriban milioni 230. Ni lugha ya taifa ya Bangladesh na upande wa Uhindi ni lugha ya jimbo la Bengali Magharibi. Kati ya lugha za Uhindi zenye wasemaji wengi ni lugha ya pili. Inahesabiwa kuwa lugha ya dunia yenye wasemaji wengi ya tano au sita.

Kinahesabiwa kuwa kati ya lugha za Kihindi-Kiajemi ndani ya lugha za Kihindi-Kiulaya. Lugha za karibu ni pamoja na Hindi, Urdu, Kipunjabi, Kisindhi, Kigujarati na Kimarathi.

Ni lugha yenye fasihi tangu miaka 1,000. Mwandishi Rabindranath Tagore aliyeandika kwa Kibengali alipokea Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibengali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA