Kairo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 27: Mstari 27:
Kairo inakadiriwa kuwa na wakazi 7,734,614 mjini penyewe pamoja na mitaa ya karibu ni 15,502,478.
Kairo inakadiriwa kuwa na wakazi 7,734,614 mjini penyewe pamoja na mitaa ya karibu ni 15,502,478.


Ndani ya eneo la Kairo ya leo ulikuwepo mji wa [[Mamuluk ya Kale|Mamuluk]] wa [[Babiloni ya Misri]]. [[Waarabu]] walipovamia Misri mwaka [[641]] walijenga karibu kambi la jeshi lao lililoitwa [[Fustat]]. Fustat ikawa makao makuu ya watawala Waislamu Misri; miji yote miwili ya Babiloni na Fustat zikakua kuwa mji mmoja ulioitwa al-Qāhira (=mji wa ushindi) au Kairo. (Mji wa Cair);
Ndani ya eneo la Kairo ya leo ulikuwepo mji wa [[Mamuluk ya Kale|Mamuluk]] wa [[Babiloni ya Misri]]. [[Waarabu]] walipovamia Misri mwaka [[641]] walijenga karibu kambi la jeshi lao lililoitwa [[Fustat]]. Fustat ikawa makao makuu ya watawala Waislamu Misri; miji yote miwili ya Babiloni na Fustat zikakua kuwa mji mmoja ulioitwa al-Qāhira (=mji wa ushindi) au Kairo. (Mji wa Cairo);
Cairo-Maadi 1800, Cairo Al Ahram 2001: Ni muji mukubwa wa Africa, ina wakaaji 5,000,000; Kama Johannesburg na Nairobi.
Cairo-Maadi 1800, Cairo Al Ahram 2001: Ni muji mukubwa wa Africa, ina wakaaji 5,000,000; Kama Johannesburg na Nairobi.

Pitio la 17:39, 15 Juni 2011






Kairo

Bendera
Kairo is located in Misri
Kairo
Kairo

Mahali pa mji wa Kairo katika Misri

Majiranukta: 30°03′N 31°22′E / 30.050°N 31.367°E / 30.050; 31.367
Nchi Misri
Mkoa Kairo
Tovuti:  www.cairo.gov.eg
Kairo jinsi inavyoonekana kutoka angani - njano ni rangi ya jangwa, kijani-nyeusi ni rangi ya mashamba kwenye bonde la Nile linalopanuka kuwa delta na rangi ya kijivu ni nyumba za Kairo

Kairo (Kar القاهرة al-Qāhira – „mwenye ushindi“) ni mji mkuu wa Misri na mji mkuu wa nchi zote za kiarabu.

Kairo inakadiriwa kuwa na wakazi 7,734,614 mjini penyewe pamoja na mitaa ya karibu ni 15,502,478.

Ndani ya eneo la Kairo ya leo ulikuwepo mji wa Mamuluk wa Babiloni ya Misri. Waarabu walipovamia Misri mwaka 641 walijenga karibu kambi la jeshi lao lililoitwa Fustat. Fustat ikawa makao makuu ya watawala Waislamu Misri; miji yote miwili ya Babiloni na Fustat zikakua kuwa mji mmoja ulioitwa al-Qāhira (=mji wa ushindi) au Kairo. (Mji wa Cairo); Cairo-Maadi 1800, Cairo Al Ahram 2001: Ni muji mukubwa wa Africa, ina wakaaji 5,000,000; Kama Johannesburg na Nairobi.

Tazama pia

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kairo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA