Tanganyika African National Union : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Tanganyika African National Union (TANU)''' ilikuwa chama kilichotawala [[Tanganyika]] na [[Tanzania]] hadi maungano yake na Chama cha Afro-Shirazi ya [[Zanzibar]] kuwa Chama cha Mapinduzi.
'''Tanganyika African National Union (TANU)''' kilikuwa chama kilichotawala [[Tanganyika]] na [[Tanzania]] hadi muungano wa chama hiki na Chama cha [[Afro-Shirazi]] cha [[Zanzibar]] ulipounda [[Chama cha Mapinduzi]] (CCM) mwaka 1977.


TANU ilianzishwa 07.07.1954 kutokana na T[[anganyika African Association]] (TAA). TAA ilikuwa shirika ya kiutamaduni si ya kisiasa. Mwenyekiti wa kwanza wa TANU alikuwa Julius Kambarage [[Nyerere]].
TANU ilianzishwa Julai 7,1954 kutokana na [[Tanganyika African Association]] (TAA). TAA ilikuwa na mwelekeo wa kitamaduni zaidi ya siasa. Mwenyekiti wa kwanza wa TANU alikuwa [[Julius Kambarage Nyerere]].


TANU ilishinda kila uchaguzi chini ya utawala wa kikoloni ikawa chama cha kuongoza Tanzania kupata uhuru wake. Katiba ya Taifa ya mw.1962 ilifanya TANU kuwa chama cha pekee nchini ikifuata mfano wa nchi za kijamaa.
TANU ilishinda kila uchaguzi chini ya utawala wa kikoloni ikawa chama cha kuongoza Tanzania hadi ilipopata uhuru wake mwaka 1961. [[Katiba[[ ya Taifa ya mwaka 1962 ilifanya TANU kuwa chama cha pekee nchini ikifuata mfano wa [[nchi za kijamaa]] zenye muundo wa [[siasa ya chama kimoja]].

Mwaka 1977 TANU ilivunjwa; kwa kuungana na Chama cha Afro-Shirazi ya Zanzibar chama kipya cha [[CCM]] ([[Chama cha Mapinduzi]]) kiliundwa.

Pitio la 01:25, 29 Desemba 2005

Tanganyika African National Union (TANU) kilikuwa chama kilichotawala Tanganyika na Tanzania hadi muungano wa chama hiki na Chama cha Afro-Shirazi cha Zanzibar ulipounda Chama cha Mapinduzi (CCM) mwaka 1977.

TANU ilianzishwa Julai 7,1954 kutokana na Tanganyika African Association (TAA). TAA ilikuwa na mwelekeo wa kitamaduni zaidi ya siasa. Mwenyekiti wa kwanza wa TANU alikuwa Julius Kambarage Nyerere.

TANU ilishinda kila uchaguzi chini ya utawala wa kikoloni ikawa chama cha kuongoza Tanzania hadi ilipopata uhuru wake mwaka 1961. [[Katiba[[ ya Taifa ya mwaka 1962 ilifanya TANU kuwa chama cha pekee nchini ikifuata mfano wa nchi za kijamaa zenye muundo wa siasa ya chama kimoja.