Ogaden : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: uk:Огаден
d roboti Nyongeza: am:ኦጋዴን
Mstari 13: Mstari 13:
[[Category:Ethiopia]]
[[Category:Ethiopia]]


[[am:ኦጋዴን]]
[[ar:أوغادين]]
[[ar:أوغادين]]
[[bg:Огаден]]
[[bg:Огаден]]

Pitio la 22:21, 24 Januari 2011

Eneo la Ogaden katika Ethiopia

Ogaden ni jina la kimataifa la eneo kubwa la Ethiopoa ya mashariki. Zamani ilikuwa jina la jimbo linaloitwa leo mkoa wa Somali la Ethiopia.

Ogaden imepakana na Kenya, Somalia na Jibuti.

Eneo hili lina umbo la pembetatu na jumla ni takriban kilomita za mraba 370,000. Hali ya hewa ni yabisi, kuna sehemu ambazo ni jangwa kabisa menginevyo savana yabisi.

Wakazi ni hasa Wasomali. Kwa miaka mengi vikundi vya wanamigambo wamejaribu kutenganisha eneo hili na Ethiopia lakini hawakufaulu.

1977/78 kulitokea Vita ya Ogaden ambamo jeshi la Somalia ilijaribu kuteka eneo hili kwa msaada wa wanamigambo wenyeji. Walishindwa na Waethiopia kwa msaada wa Warusi na Wakuba.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ogaden kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.