Heike Kamerlingh Onnes : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d clean up using AWB |
d r2.6.4) (roboti Badiliko: zh:海克·卡末林·昂內斯 |
||
Mstari 55: | Mstari 55: | ||
[[uk:Гейке Камерлінг-Оннес]] |
[[uk:Гейке Камерлінг-Оннес]] |
||
[[yo:Heike Kamerlingh Onnes]] |
[[yo:Heike Kamerlingh Onnes]] |
||
[[zh:海克·卡末林·昂 |
[[zh:海克·卡末林·昂內斯]] |
Pitio la 14:57, 24 Desemba 2010
Heike Kamerlingh Onnes (21 Septemba, 1853 – 21 Februari, 1926) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uholanzi. Alichunguza elementi katika hali ya baridi sana. Pia alifaulu kuoesha elementi ya heliamu. Mwaka wa 1913 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Heike Kamerlingh Onnes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |