Migoli : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Created page with 'Migoli ni kijiji ndani ya mkoa wa Iringa nchini Tanzania, kijiji hiki kinapatikana ndani ya bwawa la mtera ambako wakazi wengi hutegemea maisha yao katika uvuvi, eneo hili ni end...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
Migoli ni kijiji ndani ya mkoa wa Iringa nchini Tanzania, kijiji hiki kinapatikana ndani ya bwawa la mtera ambako wakazi wengi hutegemea maisha yao katika uvuvi, eneo hili ni endelevu hasa ukilinganisha na vijiji vingine ndani ya nchi ya tanzania, nachotaka kusema ni kuwa, kijiji hiki kina huduma nyingi za jamii ambazo zimetokana na juhudi za serikali yenyewe, wafadhili wa miradi mbalimbali kama vile Parokia ya migoli makampuni ya mawasiliano kama vile Zain, Tigo, Vodacom na ZanTel. eneo hili halina rutuba hivyo wakazi wa kijiji hiki hawajishughurishi kwenye kilimo hivyo wao chakula wananunua kutoka sehemu ambazo chakula kinalimwa kama vile ismani na mtamba Dodoma.
'''Migoli''' ni kijiji ndani ya [[Mkoa wa Iringa]] nchini [[Tanzania]]. Kijiji hiki kinapatikana ndani ya [[Bwawa la Mtera]] ambako wakazi wengi hutegemea maisha yao katika uvuvi. Eneo hili ni endelevu hasa ukilinganisha na vijiji vingine ndani ya nchi ya Tanzania, kinachomaanishwa ni kuwa kijiji hiki kina huduma nyingi za jamii ambazo zimetokana na juhudi za serikali yenyewe.
Wafadhili wa miradi mbalimbali kama vile Parokia ya migoli makampuni ya mawasiliano kama vile Zain, Tigo, Vodacom na ZanTel. Eneo hili halina rutuba hivyo wakazi wa kijiji hiki hawajishughurishi kwenye kilimo hivyo wao chakula wananunua kutoka sehemu ambazo chakula kinalimwa kama vile ismani na mtamba Dodoma.

[[Jamii:Mkoa wa Iringa]]


{{mbegu-jio-TZ}}

Pitio la 10:03, 21 Oktoba 2009

Migoli ni kijiji ndani ya Mkoa wa Iringa nchini Tanzania. Kijiji hiki kinapatikana ndani ya Bwawa la Mtera ambako wakazi wengi hutegemea maisha yao katika uvuvi. Eneo hili ni endelevu hasa ukilinganisha na vijiji vingine ndani ya nchi ya Tanzania, kinachomaanishwa ni kuwa kijiji hiki kina huduma nyingi za jamii ambazo zimetokana na juhudi za serikali yenyewe.

Wafadhili wa miradi mbalimbali kama vile Parokia ya migoli makampuni ya mawasiliano kama vile Zain, Tigo, Vodacom na ZanTel. Eneo hili halina rutuba hivyo wakazi wa kijiji hiki hawajishughurishi kwenye kilimo hivyo wao chakula wananunua kutoka sehemu ambazo chakula kinalimwa kama vile ismani na mtamba Dodoma.