Tofauti kati ya marekesbisho "Pate"

Jump to navigation Jump to search
8 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
d
roboti Nyongeza: pt:Ilha Pate; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: ca:Pate)
d (roboti Nyongeza: pt:Ilha Pate; cosmetic changes)
[[ImagePicha:Lamu Pate Map.jpg|thumb|right|300px|Ramani ya kisiwa cha Pate (Kenya)]]
'''Pate''' ni kisiwa kikubwa cha [[funguvisiwa]] ya [[Lamu]] mbele ya pwani la [[Kenya]] katika [[Bahari Hindi]]. Pate ni kisiwa ambacho ni karibu na [[Somalia]]. Wakati ya maji kujaa Pate inagawanywa katika sehemu mbili kwa mtaro wa bahari karibu na [[Siyu]]; wakati wa maji kupwa mtaro huwa ni pakavu.
 
Siku hizi Faza ni kijiji kikubwa cha Pate penye hospitali ndogo, polisi, nyumba ya wageni, shule ya sekondari na maduka. 2004 palikuwa na gari moja tu kisiwani ni gari la hospitali.
 
[[CategoryJamii:Visiwa vya Bahari ya Hindi]]
[[CategoryJamii:Visiwa vya Kenya]]
[[CategoryJamii:Waswahili]]
 
[[ca:Pate]]
[[fr:Pate (île)]]
[[it:Pate]]
[[pt:Ilha Pate]]
[[sv:Pate]]
44,168

edits

Urambazaji