George Porter : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ru:Портер, Джордж |
qmbegu-mwanasayansi |
||
Mstari 10: | Mstari 10: | ||
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Kemia]] |
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Kemia]] |
||
{{mbegu}} |
{{mbegu-mwanasayansi}} |
||
[[ar:جورج بورتر]] |
[[ar:جورج بورتر]] |
Pitio la 13:02, 17 Juni 2009
George Porter (6 Desemba, 1920 – 31 Agosti, 2002) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza hali za ulinganifu wa molekuli. Mwaka wa 1967, pamoja na Manfred Eigen na Ronald Norrish alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia. Mwaka wa 1972 alipewa cheo cha "Sir".
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu George Porter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |