Manfred Eigen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Manfred Eigen, Göttingen 1996
Tuzo Nobel.png

Manfred Eigen (amezaliwa 9 Mei 1927) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza athari mbalimbali za kikemia. Mwaka wa 1967, pamoja na Ronald Norrish na George Porter alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Manfred Eigen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.