Hans Buchner : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 8: Mstari 8:
[[Category:Wanasayansi wa Ujerumani]]
[[Category:Wanasayansi wa Ujerumani]]


{{mbegu}}
{{mbegu-mwanasayansi}}


[[de:Hans Ernst August Buchner]]
[[de:Hans Ernst August Buchner]]

Pitio la 19:54, 15 Juni 2009

Hans Ernst August Buchner (16 Desemba, 18505 Aprili, 1902) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa na damu ya binadamu. Alikuwa kaka ya Eduard Buchner aliyepokea Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1907.

Asichanganywe na mtungaji muziki Mjerumani wa karne ya 15, Hans Buchner.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hans Buchner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.