Max Delbruck : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: tr:Max Delbrück
Mstari 34: Mstari 34:
[[ru:Дельбрюк, Макс]]
[[ru:Дельбрюк, Макс]]
[[sv:Max Delbrück]]
[[sv:Max Delbrück]]
[[tr:Max Delbrück]]
[[zh:馬克斯·德爾布呂克]]
[[zh:馬克斯·德爾布呂克]]

Pitio la 07:16, 30 Desemba 2008

Max Delbrück (4 Septemba, 19069 Machi, 1981) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Ujerumani. Wakati wa utawala wa Hitler alihamia Marekani. Hasa alichunguza virusi vinavyoharibu vijidudu. Mwaka wa 1969, pamoja na Alfred Hershey na Salvador Luria alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.