Pearl S. Buck : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: br:Pearl Buck
d roboti Nyongeza: ku:Pearl S. Buck
Mstari 36: Mstari 36:
[[ja:パール・S・バック]]
[[ja:パール・S・バック]]
[[ko:펄 벅]]
[[ko:펄 벅]]
[[ku:Pearl S. Buck]]
[[la:Pearl S. Buck]]
[[la:Pearl S. Buck]]
[[ml:പേള്‍ എസ്. ബക്ക്]]
[[ml:പേള്‍ എസ്. ബക്ക്]]

Pitio la 14:39, 19 Novemba 2008

Pearl S. Buck, mwaka wa 1932

Pearl Buck (26 Juni, 18926 Machi, 1973) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni Pearl Comfort Sydenstricker; Buck ni jina la mume wake. Lakini aliandika chini ya jina la John Sedges. Anajulikana hasa kwa riwaya zake juu ya maisha katika nchi ya Uchina ambapo alilelewa akiwa mtoto wa wamisionari. Mwaka wa 1938 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.