Korongo (Gruidae) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: id:Burung jenjang
d roboti Nyongeza: hi:सारस
Mstari 69: Mstari 69:
[[fy:Kraanfûgels]]
[[fy:Kraanfûgels]]
[[he:עגוריים]]
[[he:עגוריים]]
[[hi:सारस]]
[[hr:Ždralovi]]
[[hr:Ždralovi]]
[[hu:Darufélék]]
[[hu:Darufélék]]

Pitio la 20:52, 11 Oktoba 2008

Korongo
Korongo-taji kijivu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Gruiformes (Ndege kama makorongo)
Familia: Gruidae (Ndege walio na mnasaba na makorongo)
Vigors, 1825
Jenasi: Angalia katiba

Makorongo hawa ni ndege wa familia ya Gruidae wenye domo fupi na jembamba kuliko lile la makorongo wa familia ya Ciconiidae. Spishi nyingi hufanya mikogo ya kubembeleza jike wakitoa sauti kubwa. Huugana kwa maishi yao yote. Spishi za nchi za halijoto wastani huhama kila mwaka kabla ya wakati wa baridi. Makorongo hawa hupenda kuwa pamoja na huhama kwa makundi makubwa. Hula kila kitu kinachopatikana, kama panya, watambaazi, amfibia au samaki, hata nafaka na matunda madogo. Spishi za makorongo zinatokea mabara yote ghairi ya Amerika ya Kusini.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengi

Picha