Korongo (Ciconiidae) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Sanduku la uainishaji
d robot Adding: hu:Gólyafélék, id:Bangau
Mstari 52: Mstari 52:
[[fr:Ciconiidae]]
[[fr:Ciconiidae]]
[[he:חסידה]]
[[he:חסידה]]
[[hu:Gólyafélék]]
[[id:Bangau]]
[[io:Cikonio]]
[[io:Cikonio]]
[[ja:コウノトリ亜科 (Sibley)]]
[[ja:コウノトリ亜科 (Sibley)]]

Pitio la 17:24, 25 Agosti 2006

Korongo
Korongo domo-njano
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Ciconiiformes (Ndege kama makorongo)
Familia: Ciconiidae (Ndege walio na mnasaba na makorongo)
Gray, 1840
Jenasi: Angalia katiba

Makorongo hawa ni ndege wa familia Ciconiidae wenye domo refu na nono (makorongo wa familia Gruidae wana domo fupi na jembamba zaidi). Mabawa yao ni marefu sana, yale ya korongo mfuko-shingo au marabu yana 3.2 m: marefu kuliko yale ya ndege wote ghairi ya tumbusi wa Andes (condor).

Spishi nyingine huishi mahali pa majimaji nyingine mahali pakavu. Hula vyura, samaki, wadudu na nyungunyungu, hata ndege na wanyama wadogo. Korongo hawa hawawezi kutoa sauti. Lakini kwa tago hupiga kelele na domo yao.

Spishi wa Afrika

Spishi wa mabara mengine

  • Mycteria cinerea (Milky Stork)
  • Mycteria leucocephala (Painted Stork)
  • Mycteria americana (Wood Stork)
  • Anastomus oscitans (Asian Openbill Stork)
  • Ciconia stormi (Storm's Stork)
  • Ciconia maguari (Maguari Stork)
  • Ciconia boyciana (Oriental White Stork)
  • Ephippiorhynchus asiaticus (Black-necked Stork)
  • Jabiru mycteria (Jabiru)
  • Leptoptilos javanicus (Lesser Adjutant)
  • Leptoptilos dubius (Greater Adjutant)