Béjaïa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d #WPWP #WPWPARK
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Béjaïa 02.jpg|thumb|Béjaïa]]
[[Picha:Béjaïa 02.jpg|thumb|Béjaïa]]
'''Béjaïa''' zamani ilijulikana kama '''Bougie''' na '''Bugia''' ni [[Bandari|mji wa bandari]] kwenye Ghuba ya Béjaïa katika nchi ya [[Algeria]]; ni mji mkuu wa Mkoa wa [[Béjaïa]], Kabylia. Béjaïa ni jiji kubwa zaidi inayotumia lugha ya [[Tamazight|Kabyle]] .
'''Béjaïa''' zamani ilijulikana kama '''Bougie''' na '''Bugia''' na ni [[Bandari|mji wa bandari]] kwenye Ghuba ya Béjaïa katika nchi ya [[Algeria]]; ni mji mkuu wa jimbo la [[Béjaïa]], Kabylia. Béjaïa ni jiji kubwa zaidi inayotumia lugha ya [[Tamazight|Kabyle]] .

Mji huo uko mguuni pa mlima Yemma Gouraya. Maeneo mengine ya karibu ni pamoja na pwani ya "Aiguades" na "Pic des Singes" (Monkey Peak); hapo wako nyanyi aina ya Barbary Macaque walio hatarini kuangamizwa. Sehemu hizo zote ziko katika Hifadhi ya Kitaifa ya Gouraya. Mto Soummam unapita katikati ya mji.
Mji huo unatazamana na mlima Yemma Gouraya ambapo mwonekano wake unafananishwa na umbo la mwanamke aliyelala. Maeneo mengine ya karibu ni pamoja na pwani ya "Aiguades" na "Pic des Singes" (Monkey Peak); hapo wako nyanyi aina ya Barbary Macaque walio hatarini kuangamizwa. Sehemu hizo zote ziko katika Hifadhi ya Kitaifa ya Gouraya. Mto Soummam unapita katikati ya mji.

Wakati wa ukoloni wa Ufaransa, hapo zamani mji uliandikwa kwa tahajia ya ya Kifaransa kwa mfano '' Bougie''. <ref name="OED">{{cite web|url=http://www.oed.com/view/Entry/21989|title=Bougie (n)|work=Oxford English Dictionary|publisher=Oxford University Press|access-date=29 November 2012|quote=Etymology: < French bougie wax candle, < Bougie (Arabic Bijiyah), a town in Algeria which carried on a trade in wax}} ''Available online to subscribers''</ref>

Pitio la 09:09, 21 Agosti 2021

Béjaïa

Béjaïa zamani ilijulikana kama Bougie na Bugia na ni mji wa bandari kwenye Ghuba ya Béjaïa katika nchi ya Algeria; ni mji mkuu wa jimbo la Béjaïa, Kabylia. Béjaïa ni jiji kubwa zaidi inayotumia lugha ya Kabyle .

Mji huo unatazamana na mlima Yemma Gouraya ambapo mwonekano wake unafananishwa na umbo la mwanamke aliyelala. Maeneo mengine ya karibu ni pamoja na pwani ya "Aiguades" na "Pic des Singes" (Monkey Peak); hapo wako nyanyi aina ya Barbary Macaque walio hatarini kuangamizwa. Sehemu hizo zote ziko katika Hifadhi ya Kitaifa ya Gouraya. Mto Soummam unapita katikati ya mji.

Wakati wa ukoloni wa Ufaransa, hapo zamani mji uliandikwa kwa tahajia ya ya Kifaransa kwa mfano Bougie. [1]

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Marejereo

  1. "Bougie (n)". Oxford English Dictionary. Oxford University Press. Iliwekwa mnamo 29 November 2012. Etymology: < French bougie wax candle, < Bougie (Arabic Bijiyah), a town in Algeria which carried on a trade in wax  Check date values in: |accessdate= (help) Available online to subscribers