Nasaba ya Han : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Han foreign relations CE 2.jpg|thumb|300px|Eneo la utawala wa Han katika Uchina]]
[[Picha:Han foreign relations CE 2.jpg|thumb|300px|Eneo la utawala wa Han katika Uchina.]]
'''Nasaba ya Han''' (Kichina cha asili: 漢朝 ; Kichina rahisi: 汉朝; Hanyu Pinyin: Hàn cháo; Wade-Giles: Han Ch'au; 206 KK – 220 BK) ilifuata utawala wa [[nasaba ya Qin]], na ilitangulia Dola Tatu katika [[Uchina]]. Utawala huu ulianzishwa na familia maarufu iliyofahamika kama Ukoo wa Liu.
'''Nasaba ya Han''' (Kichina cha asili: 漢朝 ; Kichina rahisi: 汉朝; Hanyu Pinyin: Hàn cháo; Wade-Giles: Han Ch'au; [[206 KK]][[220 BK]]) ilitawala [[Uchina]] baada ya [[nasaba ya Qin]], na ilitangulia [[Madola Matatu]]. Utawala huu ulianzishwa na [[familia]] maarufu iliyofahamika kama [[ukoo]] wa Liu.


Watu wa [[China]] huhesabu nasaba ya Han iliyodumu kwa karne nne kuwa moja ya vipindi vikuu katika historia yote ya nchi. Hivyo, watu wa jamii kubwa ya China hujihesabu mpaka leo “watu wa Han”, kwa heshima ya familia ya Han na utawala waliouanzisha.
Watu wa [[China]] huhesabu [[nasaba]] ya Han iliyodumu kwa [[karne]] nne kuwa kati ya vipindi vikuu katika [[historia]] yote ya nchi. Hivyo, jamii kubwa ya China hujihesabu mpaka leo “watu wa Han”, kwa [[heshima]] ya familia ya Han na utawala waliouanzisha.


==Viungo vya nje==
{{commons|Category:Han_Dynasty}}
{{commons|Category:Han_Dynasty}}
[[Jamii:Uchina]]
[[Jamii:Historia ya China]]

Pitio la 07:23, 7 Juni 2021

Eneo la utawala wa Han katika Uchina.

Nasaba ya Han (Kichina cha asili: 漢朝 ; Kichina rahisi: 汉朝; Hanyu Pinyin: Hàn cháo; Wade-Giles: Han Ch'au; 206 KK220 BK) ilitawala Uchina baada ya nasaba ya Qin, na ilitangulia Madola Matatu. Utawala huu ulianzishwa na familia maarufu iliyofahamika kama ukoo wa Liu.

Watu wa China huhesabu nasaba ya Han iliyodumu kwa karne nne kuwa kati ya vipindi vikuu katika historia yote ya nchi. Hivyo, jamii kubwa ya China hujihesabu mpaka leo “watu wa Han”, kwa heshima ya familia ya Han na utawala waliouanzisha.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons