Niue : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ga:Niue
d roboti Nyongeza: bs:Niue
Mstari 62: Mstari 62:
[[bg:Ниуе]]
[[bg:Ниуе]]
[[bpy:নুউ]]
[[bpy:নুউ]]
[[bs:Niue]]
[[ca:Niue]]
[[ca:Niue]]
[[cs:Niue]]
[[cs:Niue]]

Pitio la 06:59, 29 Februari 2008

Niue

Niue ni nchi ya kisiwani katika Pasifiki ya kusini. Ni nchi ya kujitawala inayoshiriki na New Zealand inayoratibu siasa ya nje na mambo ya kijeshi.

Niue iko 2,400 km kaskazini-magharibi ya New Zealand kati ya Tonga, Samoa na Visiwa vya Cook. Inahesabiwa kati ya visiwa vya Polynesia ikiitwa "Mwamba wa Polynesia".