Maunzilaini : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
No edit summary
d Kipala alihamisha ukurasa wa Software hadi Maunzilaini
(Hakuna tofauti)

Pitio la 22:09, 18 Novemba 2020

Maunzilaini (pia: maunzi laini[1], kwa Kiingereza software) ni jumla ya programu na data zinazodhibiti utendaji wa kazi ya kompyuta. Ni tofauti na mashine ya kompyuta yenyewe inayotajwa kama maunzingumu au hardware.

Marejeo

  1. Maunzi laini au maunzilaini ni pendekezo la Kamusi ya KSK; Orodha za Microsoft na Kilinux hutumia "programu" klnX IT Extended Glossary May 2009
  • Kiputuputi, Omari (2011). Kamusi Sanifu ya Kompyuta, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Toleo la Kwanza 2011, ISBN 978 9987 531 127
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.