Daniel Tsui : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 36 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q202138 (translate me)
#WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Daniel Chee Tsui.jpg|thumbnail|right|200px|Daniel Tsui]]

'''Daniel Chee Tsui''' (amezaliwa [[28 Februari]] [[1939]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]] akiwa amezaliwa nchini [[China]]. Hasa anajulikana kwa kugundua kanuni fulani ya kifizikia (kwa Kiingereza: ''quantum Hall effect''). Mwaka wa [[1998]], pamoja na [[Robert Laughlin]] na [[Horst Störmer]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''.

Toleo la sasa la 12:04, 1 Agosti 2020

Daniel Tsui

Daniel Chee Tsui (amezaliwa 28 Februari 1939) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani akiwa amezaliwa nchini China. Hasa anajulikana kwa kugundua kanuni fulani ya kifizikia (kwa Kiingereza: quantum Hall effect). Mwaka wa 1998, pamoja na Robert Laughlin na Horst Störmer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Tsui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.