Philippus Mwarabu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Kaisari --> Kaizari |
d roboti Nyongeza: vi:Philip Ả rập |
||
Mstari 40: | Mstari 40: | ||
[[sv:Filip Araben]] |
[[sv:Filip Araben]] |
||
[[tr:Arap Philip]] |
[[tr:Arap Philip]] |
||
[[vi:Philip Ả rập]] |
Pitio la 11:43, 4 Februari 2008
Marcus Julius Philippus (takriban 204 – April/Mei 249) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia Februari 244 hadi kifo chake. Alimfuata Gordian III. Aliitwa Mwarabu kwa vile alizaliwa katika jimbo la Syria karibu na mji wa Damaskus na wazazi Waarabu.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |