Elsie Kanza : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{Infobox Person
'''Elsie kanza''' ni Mkurugenzi Mkuu wa Jukwaa la uchumi wa Nchi za Afrika tangu mwaka 2014.kwa mjibu wa mtandao wa [[forbes]] alitajwa kama mmoja kati ya Wanawake 20 Vijana wenye Nguvu afrika kwa mwaka 2011.<ref>https://www.forbes.com/sites/faraigundan/2013/06/17/meet-elsie-kanza-head-of-africa-at-the-world-economic-forum-on-delivering-on-africas-promise/#1268ca9e7fcc</ref>
|jina = Elsie Kanza
|picha =
|maelezo_ya_picha =
|tarehe_ya_kuzaliwa =
|mahala_pa_kuzaliwa = nchini kenya
|tarehe_ya_kufariki =
|mahala_alipofia =
|majina_mengine =
|anafahamika kwa = kiongozi wa jukwa la uchumi Afrika
|kazi_yake =
|nchi = Tanzania
}}
'''Elsie kanza'''(amezaliwa tar.) ni Mkurugenzi Mkuu wa Jukwaa la uchumi wa Nchi za Afrika tangu mwaka 2014.kwa mjibu wa mtandao wa [[forbes]] alitajwa kama mmoja kati ya Wanawake 20 Vijana wenye Nguvu afrika kwa mwaka 2011.<ref>https://www.forbes.com/sites/faraigundan/2013/06/17/meet-elsie-kanza-head-of-africa-at-the-world-economic-forum-on-delivering-on-africas-promise/#1268ca9e7fcc</ref>
{| style="font-size:90%; width: 65%; padding: 3px; margin: 0 auto;" class=toccolours
{| style="font-size:90%; width: 65%; padding: 3px; margin: 0 auto;" class=toccolours
|-
|-

Pitio la 06:32, 11 Septemba 2018

Elsie Kanza
Amezaliwa
nchini kenya
Nchi Tanzania

Elsie kanza(amezaliwa tar.) ni Mkurugenzi Mkuu wa Jukwaa la uchumi wa Nchi za Afrika tangu mwaka 2014.kwa mjibu wa mtandao wa forbes alitajwa kama mmoja kati ya Wanawake 20 Vijana wenye Nguvu afrika kwa mwaka 2011.[1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elsie Kanza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Maisha yake

Kanza alizaliwa nchini Kenya,na wazazi wenye asili ya kitazania, akapata Elimu yake nchini Kenya na baadae kuendelea na masomo nchini Marekani.Ameweza kupata nafasi mbalimbali za uongozi ikiwa ni pamoja na kuwa Mshauri wa maswala ya kiuchumi wa aliyekuwa Rais wa Tanzania MhJakaya Mrisho Kikwete kwa mwaka 2006-2011[2]

Elimu yake

Kwa kipindi cha mwaka 1997-2006, Elsie aliweza kupata shahada ya biashara na utawala wa kimataifa katika chuo kikuu cha United States International – Afrika, shahada ya uzamili ya sayansi ya fedha katika chuo cha Strathclyde na shahada ya uzamili katika Sanaa ya maendeleo ya kiuchumi katika chuo cha Williams cha nchini Marekani[3]

Marejeo

  1. https://www.forbes.com/sites/faraigundan/2013/06/17/meet-elsie-kanza-head-of-africa-at-the-world-economic-forum-on-delivering-on-africas-promise/#1268ca9e7fcc
  2. https://www.weforum.org/agenda/authors/elsiekanza/
  3. https://www.huffingtonpost.com/ebenezar-wikina/wef-africa-at-25-my-strol_b_8508140.html